Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari zote nchini za Serikali.
Upande
wa Mkoa wa Njombe, Shule ya Sekondari Makambako kutoka Halmashauri ya Mji wa
Makambako inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri
za Mkoa wa Iringa wakati Shule ya Sekondari Kinyika ya Halmashauri ya Wilaya ya
Makete ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali
linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
NJOMBE |
LUDEWA DC |
CHIEF KIDULILE |
8,409,487 |
KETEWAKA |
2,230,530 |
MAKAMBAKO TC |
MAKAMBAKO |
15,009,555 |
MLOWA |
3,989,327 |
|
MAKETE DC |
IWAWA |
9,369,961 |
KINYIKA |
492,945 |
|
NJOMBE DC |
SOVI |
6,943,054 |
MFRIGA |
1,182,525 |
|
|
NJOMBE TC |
NJOMBE |
11,079,801 |
VIZIWI NJOMBE |
1,192,371 |
|
WANGONG’OMBE DC |
WANGING’OMBE |
12,568,828 |
IGOSI |
2,703,111 |
Chanzo:
TAMISEMI
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –