Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari zote nchini za Serikali.

Upande
wa Mkoa wa Rukwa, Shule ya Sekondari Lukangao iliyopo Halmashauri ya Manispaa
ya Sumbawanga inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri
za Mkoa wa Rukwa wakati Shule ya Sekondari Lula kutoka Halmashauri ya Wilaya ya
Sumbawanga ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama
jedwali linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
RUKWA |
KALAMBO DC |
MATAI |
12,669,321 |
KALEMBE |
2,211,307 |
NKASI DC |
KIRANDO |
13,296,009 |
MASHETE |
2,334,081 |
|
SUMBAWANGA DC |
UCHILE |
9,336,758 |
LULA |
783,856 |
|
SUMBAWANGA MC |
LUKANGAO |
15,264,226 |
MHAMA |
3,524,082 |
Chanzo:
TAMISEMI
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]