Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari zote nchini za Serikali.
Upande
wa Mkao wa Songwe, Shule ya Sekondari Mwl J.K Nyerere iliyopo Halmashauri ya Mji
wa Tunduma inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri
za Mkoa wa Songwe wakati Shule ya Sekondari Nzoka kutoka Halmashauri ya Wilaya
ya Mombo ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama
jedwali linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
SONGWE |
ILEJE DC |
ILEJE |
6,883,553 |
NGULUNGULU |
1,628,233 |
MBOZI DC |
NALYELYE |
17,179,608 |
ISALALO |
1,658,845 |
|
MOMBO DC |
IVUNA |
5,422,556 |
NZOKA |
1,247,441 |
|
SONGWE DC |
MAWENI |
14,277,720 |
NAMKWE |
1,674,139 |
|
|
TUNDUMA TC |
MWL.JK.NYERERE |
17,544,640 |
NAMOLE |
1,563,581 |
Chanzo:
TAMISEMI
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]