Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari zote nchini za Serikali.
wa Mkoa wa Mtwara, Shule ya Sekondari Mtwara ufundi iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara,
inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa
Mtwara, wakati Shule ya Sekondari Kitere kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara
ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama Jedwali
linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
MTWARA |
MASASI DC |
NDANDA |
9,466,275 |
CHIKOROPOLA |
1,158,833 |
MASASI TC |
ANNA ABDALLAH |
7,900,864 |
SULUHU |
3,245,678 |
|
MTWARA DC |
ZIWANI |
6,403,428 |
KITERE |
927,842 |
|
MTWARA MC |
MTWARA UFUNDI |
10,573,841 |
BANDARI |
3,886,536 |
|
NANYAMBA TC |
NANYAMBA |
7,990,869 |
CHAWI |
2,554,957 |
|
NANYUMBU DC |
MANGAKA |
7,119,428 |
LUMESULE |
2,284,789 |
|
NEWALA DC |
MPOTOLA |
5,845,238 |
CHIHANGU |
1,952,974 |
|
NEWALA TC |
NANGWANDA |
8,040,766 |
NAMBUNGA |
2,105,957 |
|
|
TANDAHIMBA DC |
TANDAHIMBA |
8,278,440 |
LIENJE |
1,802,501 |
Chanzo:
TAMISEMI
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]