Katika muendelezo wa uchambuzi wa
Takwimu mbalimbali hatimaye tumeanza kuangazia Ripoti ya Tathmini ya Kujifunza
kwa wanafunzi wa Shule za Msingi kutoka Shirika la Uwezo Tanzania iliyofanyiwa
utafiti kipindi cha Miaka sita ikikamilika 2017 na kutolewa Mwaka 2019.
Kaya 276,992 na watoto waliwafanyiwa
utafiti ni 614,733 Katika kipindi
cha miaka sita kuanzia Mwaka 2011, 2012, 2013, 2014, 2015, na 2017.
utafiti wa Uwezo Tanzania ulizifikia Kaya 25,532
na watoto 64,639 na mwaka ulioongoza
kuwafikia watoto wengi zaidi na Kaya nyingi ni 2015 ambapo jumla ya watoto 197,451 walifikia na Kaya 68,588.
ya utafiti wa kujifunza inaonesha, idadi kubwa ya watoto wa darasa la 3 hadi la
7 bado hawana ujuzi wa msingi wa kusoma na kuhesabu. Na kiwango cha ufaulu wa
somo la Kiswahili kwenye majaribio ya
wanafunzi uliongezeka kwa wanafunzi wa Darasa la 6 ambapo ufaulu ulikuwa wa 89%.
Tatu ulikua ni 70% Darasa la nne ni 80% la Tano ni 88% na Darasa la Saba ni 86%
.
zaidi kiwango cha ufaulu kwa majaribio ya Somo la Kiswahili.
MWAKA |
DARASA |
KIWANGO CHA UFAULU |
SOMO |
2017 |
III |
70% |
KISWAHILI |
IV |
80% |
KISWAHILI |
|
V |
88% |
KISWAHILI |
|
VI |
89% |
KISWAHILI |
|
VII |
86% |
KISWAHILI |
Chanzo:
Uwezo Tanzania.
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –