Picha na IPP Media
Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa kujifunza
iliotolewa Mwaka 2019 na Shirika la Uwezo Tanzania, inaonesha uwianao wa ufaulu
wa wanafunzi wavulana na wasichana darasa la tatu hadi darasa la saba
hautofautiani pakubwa kwa masomo ya Kiswahili,Kingeleza na Kuhesabu.
Wastani wa ufaulu wavulana na
wasichana kwa masomo matatu katika kipindi cha mwaka 2017, kinaonyeshwa kupitia Jedwali hapo chini
linaeleza zaidi ufaulu kwa majaribio ya Masomo matatu, Kiswahili,Kingeleza na
Kuhesabu.
WASITANI WA UFAULU |
DARASA |
||||
|
III |
IV |
V |
VI |
VII |
Wavulana |
48% |
58% |
66% |
71% |
72% |
Wasichana |
50% |
59% |
67% |
70% |
73% |
Chanzo:
Uwezo Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]