Ripoti ya tathmini ya kujifunza ilitolewa Mwaka 2019 na Shirika la Uwezo Tanzania inaonesha watoto wa maeneo ya mijini waliwapita wenzao
wa vijijini kwa kusoma hadithi fupi kwa Kiingereza na Kiswahili ikilinganishwa
na wanafunzi 6 kati ya 10 sawa na (59%) ya wenzao katika maeneo ya vijijini.
Uwiano huo ni kwa Masomo matatu ya Kiswahili, Kingereza
na Kuhesabu, ambapo Uwezo Tanzania imefanya utafiti katika maeneo ya vijijini
na mijini kwa Mwaka 2017.
Jedwali hapo chini linaeleza zaidi ufaulu kwa
majaribio ya Masomo matatu, Kiswahili,Kingeleza na Kuhesabu.
2017 |
MJINI |
70% |
VIJIJINI |
59% |
Chanzo:
Uwezo Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]