Kutoka katika Ripoti ya Tathmini ya Kujifunza ya kutoka
Taasisi ya Uwezo Tanzania imeonesha Wilaya 10 zilizofanya vibaya zaidi kwenye
ufaulu wa wanafunzi na Shule 10 zilizofanya vizuri zaidi kwa Masomo matatu
yaliofanyiwa utafiti ambayo ni Somo la Kiswahili, Kingereza na Kuhesabu,wanafunzi waliofanyiwa utafiti huo ni wa kuanzia umri wa miaka 9-13.

Jedwali hapo chini linaeleza zaidi ufaulu kwa
majaribio ya Masomo Matatu, Kiswahili,Kingereza na Kuhesabu.
WILAYA ZENYE |
|
WILAYA |
ASILIMIA |
Nzega |
24% |
Bahi |
29% |
Misungwi |
32% |
Kilindi |
33% |
Uyui |
35% |
Gairo |
35% |
Ukerewe |
35% |
Morogoro |
35% |
Mkuranga |
36% |
Chato |
36% |
WILAYA ZENYE |
|
WILAYA |
ASILIMIA |
Kinondoni |
61% |
Rungwe |
66% |
Temeke |
66% |
Kigamboni |
68% |
Bukoba |
71% |
Ubungo |
71% |
Iringa |
72% |
Rombo |
72% |
Mbeya |
73% |
Meru |
73% |
Chanzo:
Uwezo Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]