Kutoka katika Ripoti ya Atlasi ya
Malaria ngazi ya Halmshauri, iliyofanyiwa utafiti na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dodoma, Ofisi ya mtakwimu mkuu wa
Serikali (OCGS) Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dodoma pamoja na Wizara ya Afya Zanzibar.
Imeutaja Mkoa wa Kigoma kuwa na asilimia kubwa za kiwango cha maambukizi
ya Malaria ngazi kwa watoto wa chini ya umri wa miaka mitano kwa asilimia
24.4%.
Aidha Ripoti hiyo ya Atlasi ya
Malaria iliyotolewa Mwezi Agosti 2018, ilikusanya taarifa za viwango vya Malaria
ngazi ya Mkoa, idadi ya watoto chini ya umri wa miaka mitano kwa kila halmashauri
na idadi ya watoto chini ya umri wa miaka mitano walio tembelea sehemu zinazo
toa huduma za afya kwenye halmashauri.
Jendwari hapo chini linaonesha
Asilimia za maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka
mitano kwa Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
MKOA |
ASILIMIA |
TANZANIA BARA |
|
Arusha |
1% |
Dodoma |
1% |
Dar es Salaam |
1.1% |
Geita |
17.3% |
Iringa |
2% |
Kagera |
15.4% |
Katavi |
7.1% |
Kigoma |
24.4% |
Kilimanjaro |
1% |
Lindi |
11.7% |
Manyara |
1% |
Mara |
11.2% |
Mbeya |
4% |
Mtwara |
14,8% |
Morogoro |
9.5% |
Mwanza |
8.1% |
Njombe |
1% |
Pwani |
5.3% |
Rukwa |
1.8% |
Ruvuma |
11.8% |
Shinyanga |
6.1% |
Simiyu |
6% |
Songwe |
1% |
Singida |
2.3% |
Tabora |
11.7% |
Tanga |
3.1% |
ZANZIBAR |
|
Unguja |
1% |
Unguja Kusini |
1% |
Magharibi |
1% |
Kasikazini |
1% |
Kusini Pemba |
1% |
Chanzo: NBS
Waandishi wa Habari na wachambuzi
wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]