Kutoka
katika Ripoti ya Shirika la Haki Elimu
Tanzania ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa
wasichana ya Mwaka 2019 utafiti ulifanyika kuangalia athari
anazozipata mtoto wa kike na kushindwa kujiamini au kuonekana katika
kukabiliana nazo ikiwemo vishawishi vya kuanza mahusiana au kupata ujauzito.
Utafiti huo ulifanyika katika
mikoa mitano ya Tanzanai Bara ambayo ni Dar es Salaam, Lindi,
Kilimanjaro, Dodoma na Tabora Halmashari
za Wilaya zilizofikiwa ni12, Kata 24, Shule 63 na wanafunzi waliohojiwa ni 1841.
Utafiti pia umezitaja sababu zinazo athiri wasichana kushindwa
kujiamini na kuonekana katika utatuzi wa mambo yanayowakabili ambazo
zimegawanyika katika makundi matatu, mazingira ya nyumbani ambako vijana
wanaishi, mazingira ya kujifunzia na kusoma kutokua rafiki kwa msichana pamoja
na tabia za kijinsia.
Katika ukurasa wa 38 jedwali linaonesha asilimia za wasichana
waliokua na wapenzi wakiwa Shule na wale walisema hawana wapenzi kwenye ngazi ya Mkoa na Wilaya.
MKOA |
WILAYA |
WALIO |
WALIO |
||
|
NAMBA |
ASILIMIA |
NAMBA |
ASILIMIA |
|
Dar es Salaam |
Ilala |
20 |
10.9% |
163 |
89.1% |
|
Temeke |
7 |
33.3% |
14 |
66.7% |
|
Kigamboni |
4 |
1.2% |
163 |
98.8% |
Dodoma |
Dodoma |
20 |
10.8% |
166 |
89.2% |
|
Kondoa |
12 |
6.3% |
177 |
93.7% |
Lindi |
Lindi |
4 |
2.4% |
164 |
97.6% |
|
Lindi |
3 |
15.0% |
17 |
85.0% |
|
Liwale |
10 |
5.7% |
164 |
94.3% |
Kilimanjaro |
Moshi |
13 |
7.3% |
166 |
92.7% |
|
Rombo |
6 |
3.3% |
178 |
96.7% |
Tabora |
Tabora |
11 |
5.9% |
175 |
94.1% |
|
Urambo |
12 |
6.5% |
174 |
93.5% |
Chanzo:
Haki Elimu Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]