Wanafunzi wa kike waliokua wanakosa Taulo za kike za
kisasa katika kipindi chao cha Hedhi walikua wanaogopa kuhudhuria masomo
darasani imeandika Ripoti ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa
wasichana Mwaka 2019 kutoka Shirika la Haki Elimu Tanzania.
Jedwali hapo chini linaonesha majawabu ya wanafunzi
wa kike walioulizwa juu ya mahudhurio ya masomo darasani kipindi cha mzunguko
wa Hedhi.
MKOA |
HAWAKUBALIANI KABISA |
HAWAKUBALIANI |
WALIOKUA UPANDE WOWOTE |
WALIOKUBALI |
WALIOKUBALI KABISA |
DAR ES SALAAM |
10.8% |
3.5% |
12.5% |
13.5% |
59.6% |
KILIMANJARO |
3.6% |
1.7% |
3% |
10% |
81.8% |
TABORA |
11% |
7% |
6.4% |
10.5% |
65% |
DODOMA |
5% |
7.7% |
5% |
14.4% |
67.5% |
LINDI |
11% |
4.4% |
2.8% |
9.1% |
72.6% |
JUMLA |
8.4% |
4.8% |
6% |
11.5% |
69.2% |
Chanzo:
Haki Elimu Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]