cha juu cha maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka
mitano katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga asilimia 17.5%, ilhali kiwango kidogo cha
Malaria kipo katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ambayo ni asilimia 2.6%,
Kwa mujibu wa Ripoti ya Atlasi ya Malaria ngazi ya Halmshauri
iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya
Takwimu (NBS), Mwezi Agosti 2018.
Aidha Ripoti
ya Atlasi ya Malaria imebanisha, kiwango cha Malaria kwa watoto wenye umri wa
chini ya miaka mitano Mkoa wa Morogoro ni asilimia 9.5%, kiwango hiki cha
Malaria ni kikubwa ukilinganisha na wastani wa kitaifa wa asilimia 7.3%.
Jedwali hapo chini linaonesha
asilimia za maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka
mitano kwa Halmashauri za Mkoa wa Morogoro.
MKOA |
HALMASHAURI. |
ASILIMIA |
MOROGORO |
ULANGA |
17.5% |
MOROGORO |
16.2% |
|
MALINYI |
13.3% |
|
KILOSA |
10.4% |
|
MVOMERO |
9.7% |
|
KILOMBERO |
8.4% |
|
GAIRO |
3.5% |
|
IFAKARA MJI |
3.5% |
|
MOROGORO |
2.6% |
Chanzo: NBS
Waandishi wa Habari na wachambuzi
wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]