Kwa mujibu wa Ripoti ya Utafiti wa Elimu ya Msingi
na Sekondari kwa wasichana Mwaka 2019, kutoka Shirika la Haki Elimu Tanzania
imebainisha sababu mbamimbali za wanafunzi kukatisha masomo yao wakiwa Shule
ambapo miongoni mwazo vitendo vya ngono na ujauzito ndio vinatajwa kuongoza.
Vitendo vya Ngono vinachangia kwa 24.3% wakati ujauzito unachangia
kwa 38.4% katika mikoa iliyofanyiwa
utafiti ya Dar es salaam, Kilimanjaro, Tabora, Dodoma na Lindi.
Jedwali hapo chini linafafanua sababu mbalimbali za
wanafunzi kuacha masomo kwa asilimia na idadi ya wanafunzi wanaoacha masomo kwa
Mkoa.
SABABU |
DAR E S SALAAM (N=369) |
KILIMANJARO (N=363) |
TABORA (N=372) |
DODOMA (N=375) |
LINDI (N=362) |
JUMLA |
KIKWAZO |
12.1% |
10.4% |
16.9% |
10.2% |
11.4% |
12.7% |
ADHABU |
4.9% |
6.7% |
9.9% |
2.8% |
6.3% |
6.5% |
UGUMU |
16.6% |
10.9% |
8.6% |
6.5% |
10.4% |
10.5% |
UONEVU |
3.4% |
2.1% |
4.4% |
3.2% |
5.2% |
3.9% |
VITENDO VYA NGONO |
25.3% |
24.9% |
20.1% |
17.6% |
31.6% |
24.3% |
KAZI |
2.6% |
4.7% |
3.4% |
3.7% |
4.1% |
3.6% |
UJAUZITO |
35.1% |
40.4% |
36.7% |
56.0% |
31.1% |
38.4% |
JUMLA |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
Chanzo:
Haki Elimu Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]