Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti
wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana
Mwaka 2019 inabainishauwepo wa wanafunzi wa kike waliobadiri fiklazao na
kuamua kufauru masomo yao, kuwa wengiwao
wanafanya vizuri kimasomo kwasababu ya msukumo kutoka kwa wazazi wao, maamuzi
yao binafsi, kutiwa moyo au kuhamishwa Shule, huku Mkoa wa Dodoma ukiongoza kwa
wanafunzi kufuata sababu hizi zote.
Upande wa Mkoa wa Kilimanjaro wanafunzi wengi wakike
wameongoza kufuata maamuzi yao binafsi
yanayowasaidia kujisimamia na kufikia malengo yao pasipo kusitisha masomo.
Jedwali hapo chini linaonesha sababu za wanafunzi
kuamua kutofeli masomo yao Shule.
Sababu |
Dar |
Kilimanjaro |
Tabora |
Dodoma |
Lindi |
Jumla |
Shinikizo |
40.0% |
26.7% |
40.6% |
25.0% |
46.3% |
37.7% |
Kutiwa |
2.9% |
16.7% |
20.3% |
8.3% |
17.1% |
14.6% |
Kutiwa |
31.4% |
3.3% |
17.4% |
33.3% |
14.6% |
19.1% |
Maamuzi |
25.7% |
40.0% |
21.7% |
33.3% |
22.0% |
27.6% |
Kuhamishwa |
2.9% |
3.3% |
0.0% |
0.0% |
0.0% |
0.5% |
Jumla |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
100.0% |
Chanzo: Haki Elimu Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]