Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti
wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana
Mwaka 2019 inabainisha wasichna waliokua na wapenzi kwanzia darasa la
tano mpaka kidato cha Nne ambapo wale wa kidato cha Nne wameonekana wengi
walikua na wapenzi.
Jedwali hapo chini linafafanua asilimia za wanafunzi
wa kike walikua na wapenzi kwanzia Darasa la Tano hadi Kidato cha Nne.
DARASA/KIDATO. |
WANAFUNZI WALIO NA WAPENZI. |
DARASA |
0.9% |
DARASA |
1.1% |
DARASA |
1.5% |
KIDATO |
2.2% |
KIDATO |
6.4% |
KIDATO |
8.3% |
KIDATO |
16% |
Chanzo:
Haki Elimu Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]