Ripoti ya kitabu cha hali ya uchumi wa Taifa katika Mwaka
2020, kinaonesha Serikali ilitekeleza
afua mbalimbali zinazotoa fursa kwa watoto walio katika mazingira hatarishi
kulelewa katika familia na walio katika mazingira hatarishi kupata huduma za
malezi ya kambo.
Aidha jumla ya watoto 95 waliasiliwa mwaka 2020 ikilinganishwa
na watoto 49 walioasiliwa mwaka 2019.
WATOTO WALIO PATA |
MWAKA |
WASICHANA |
WAVULANA |
JUMLA |
2020 |
110 |
107 |
217 |
|
2019 |
|
|
65 |
|
WATOTO WALIOASILIWA |
2020 |
44 |
51 |
95 |
2019 |
23 |
26 |
49 |
|
|
|
|
|
Chanzo:
Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]