Ripoti ya Takwimu za elimu ya mwaka 2020, iliotolewa
na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI, inaonesha idadi
ya wanafunzi Wasio ona kwa shule za awali za serikali na binafsi kwa kila mkoa
nchini, ambapo jumla wanafunzi wa darasa la awali wasio ona ni 287 kwa mikoa ya Tanzania bara.
Mkoa wa Dar
es Salaam unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wenye ulemavu wa kutoona kwa
darasa la awali kwa Shule zote za Serikali na za binafsi.
Aidha Ripoti ya Best 2020, imeitaja mikoa ya Lindi,
Mtwara na Tabora kutokua na mwanafunzi hata mmoja aliye na ulemavu wa kuto ona.
Jedwali hapo chini linaonesha hali halisi kwa upande
wa mikoa ya Tanzania bara.
MIKOA |
Wasio |
|
M |
K |
|
Arusha |
9 |
4 |
Dar es Salaam |
48 |
49 |
Dodoma |
8 |
9 |
Geita |
2 |
1 |
Iringa |
5 |
1 |
Kagera |
7 |
2 |
Katavi |
1 |
0 |
Kigoma |
1 |
4 |
Kilimanjaro |
2 |
4 |
Lindi |
0 |
0 |
Manyara |
0 |
0 |
Mara |
5 |
3 |
Mbeya |
2 |
1 |
Morogoro |
13 |
9 |
Mtwara |
3 |
6 |
Mwanza |
1 |
0 |
Njombe |
3 |
2 |
Pwani |
2 |
1 |
Rukwa |
1 |
3 |
Ruvuma |
5 |
3 |
Shinyanga |
1 |
4 |
Simiyu |
0 |
3 |
Singida |
2 |
2 |
Songwe |
4 |
2 |
Tabora |
0 |
0 |
Tanga |
44 |
5 |
TOTAL |
169 |
118 |
Chanzo:
Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]