Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020, Best 2020
iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI ,
inaonesha idadi ya wanafunzi wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo kwa Shule za awali
za serikali na binafsi kwa kila mkoaTanzania bara, ambapo idadi yao ni jumla ya
wanafunzi walio na mtindio wa ubongo ni 215.
Mkoa wa Manyara
unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye Uleamavu wa Mtindio
wa Ubongo.
Aidha ripoti ya Best 2020 imeutaja mkoa wa Songwe
kutokua na mwanafunzi wa darasa la awali aliye na mtindio wa ubongo.
MIKOA |
Wenye |
|
M |
K |
|
Arusha |
1 |
2 |
Dar es Salaam |
7 |
3 |
Dodoma |
15 |
6 |
Geita |
2 |
3 |
Iringa |
12 |
5 |
Kagera |
5 |
3 |
Katavi |
1 |
0 |
Kigoma |
1 |
0 |
Kilimanjaro |
11 |
6 |
Lindi |
2 |
3 |
Manyara |
14 |
14 |
Mara |
1 |
1 |
Mbeya |
7 |
5 |
Morogoro |
4 |
4 |
Mtwara |
0 |
3 |
Mwanza |
2 |
2 |
Njombe |
6 |
1 |
Pwani |
15 |
7 |
Rukwa |
4 |
3 |
Ruvuma |
1 |
2 |
Shinyanga |
1 |
0 |
Simiyu |
0 |
2 |
Singida |
3 |
4 |
Songwe |
0 |
0 |
Tabora |
2 |
2 |
Tanga |
11 |
6 |
TOTAL |
128 |
87 |
Chanzo:
Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]