Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020 iliotolewa
na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, inaonesha idadi ya
wanafunzi wenye Ulemavu wa Afya ya Akili kwa shule za awali za serikali na binafsi kwa
kila mkoa nchini, ambapo jumala ya wanafunzi wa Darasa la Awali walio na
ulemavu wa Afya ya akili ni 1064 kwa
Shule zote za Serikali na za binafsi Tanzania bara.
Mkoa wa Morogoro
unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye Uleamavu wa Afya
ya Akili.
Aidha Ripoti ya Best 2020, imeutaja Mkoa wa Katavi
kuwa na idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wa Darasa la Awali walio na ulemavu wa
Afya ya akili.
Jedwali hapo chini linathibitisha hali halisi: –
MIKOA |
Wenye Ulemavu wa Afya ya Akili |
|
M |
K |
|
Arusha |
16 |
9 |
Dar es Salaam |
46 |
35 |
Dodoma |
26 |
19 |
Geita |
32 |
19 |
Iringa |
20 |
15 |
Kagera |
46 |
37 |
Katavi |
4 |
2 |
Kigoma |
6 |
12 |
Kilimanjaro |
17 |
6 |
Lindi |
3 |
4 |
Manyara |
18 |
9 |
Mara |
23 |
22 |
Mbeya |
31 |
32 |
Morogoro |
69 |
51 |
Mtwara |
19 |
9 |
Mwanza |
15 |
14 |
Njombe |
16 |
10 |
Pwani |
58 |
37 |
Rukwa |
10 |
8 |
Ruvuma |
16 |
19 |
Shinyanga |
13 |
11 |
Simiyu |
14 |
10 |
Singida |
8 |
19 |
Songwe |
8 |
10 |
Tabora |
19 |
9 |
Tanga |
45 |
38 |
TOTAL |
598 |
466 |
Chanzo:
Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]