Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020, Best 2020
iliotolewa mwaka 2021 na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa
TAMISEMI kwaushirikiano na kituo cha Taifa cha Takwimu NBS, inaonesha idadi ya
wanafunzi wenye Ulemavu wa Viungo kwa shule za msingi za serikali na binafsi
kwa kila mkoa nchini, ambapo jumla ya wanafunzi wa Darasa la Awali wenye
ulemavu wa viungo1061 kwa mikoa yote
ya Tanzania bara.
Mkoa wa Morogoro
unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye Uleamavu wa
Viungo.
Aidha ripoti ya Best 2020 imeutaja Mkoa wa Lindi
unaidadi ndogo zaidi ya wanafunzi wa Darasa la awali wenye Uleamavu wa Viungo.
Jedwali hapo chini linaonesha hali halisi.
MIKOA |
Wenye |
|
M |
K |
|
Arusha |
18 |
14 |
Dar es Salaam |
16 |
23 |
Dodoma |
32 |
9 |
Geita |
24 |
19 |
Iringa |
32 |
20 |
Kagera |
37 |
18 |
Katavi |
9 |
3 |
Kigoma |
22 |
10 |
Kilimanjaro |
19 |
21 |
Lindi |
6 |
6 |
Manyara |
18 |
14 |
Mara |
28 |
21 |
Mbeya |
26 |
21 |
Morogoro |
52 |
38 |
Mtwara |
13 |
14 |
Mwanza |
30 |
12 |
Njombe |
23 |
13 |
Pwani |
41 |
26 |
Rukwa |
15 |
16 |
Ruvuma |
30 |
33 |
Shinyanga |
10 |
9 |
Simiyu |
20 |
12 |
Singida |
22 |
15 |
Songwe |
13 |
8 |
Tabora |
28 |
14 |
Tanga |
40 |
28 |
TOTAL |
624 |
437 |
Chanzo:
Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]