Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020, Best 2020
iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI,
inaonesha idadi ya wanafunzi wenye ualbino kwa shule za msingi za serikali na
binafsi kwa kila mkoa nchini, ambapo jumla ya wanafunzi wa Darasa la Awali
wenye ualbino ni 347 kwa Shule za
Serikali na za binafsi katika Mikoa yote ya Tanzania bara.
Mkoa wa Tanga
unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye ualbino.Aidha
Ripoti ya Best 2020 imeitaja mikoa ya Katavi na Njombe imekua na idadi ndogo
zaidi ya wanafunzi wa darasa la awali wenye ualbino.
MIKOA |
Albino |
|
M |
K |
|
Arusha |
4 |
11 |
Dar es Salaam |
14 |
14 |
Dodoma |
4 |
5 |
Geita |
6 |
21 |
Iringa |
2 |
0 |
Kagera |
6 |
8 |
Katavi |
1 |
1 |
Kigoma |
4 |
0 |
Kilimanjaro |
13 |
8 |
Lindi |
3 |
3 |
Manyara |
3 |
6 |
Mara |
7 |
8 |
Mbeya |
6 |
2 |
Morogoro |
17 |
15 |
Mtwara |
7 |
7 |
Mwanza |
14 |
7 |
Njombe |
1 |
1 |
Pwani |
8 |
9 |
Rukwa |
6 |
4 |
Ruvuma |
7 |
13 |
Shinyanga |
3 |
6 |
Simiyu |
2 |
2 |
Singida |
5 |
6 |
Songwe |
5 |
0 |
Tabora |
6 |
4 |
Tanga |
16 |
16 |
TOTAL |
170 |
177 |
Chanzo:
Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]