Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi yatima 95697 wa darasa la awali, ukifuatiwa na Mkoa wa Kagera kwakuandikisha wanafunzi 84261
Aidha Ripoti ya Best 2020, imeutaja Mkoa wa Katavi kuwa na idadi ndogo zaidi kuandikisha wanafunzi yatima 18619 wa Darasa la Awali.
Kwangazi ya halmashauri inayo ongoza kwa kuandikisha wanafunzi wengi yatima ni halmashauri ya Muleba Mkoani Kagera iliandikisha wanafunzi 18441, ikifuatiwa na halmashauri ya Kwimba Mkoani Mwanza iliandikisha wanafunzi 15069. Na halmashauri ya Mlele Mkoa wa Katavi iliandikisha wanafunzi 1230 ni wachache kuliko halmashauri zote Tanzania Bara.
Chanzo: Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]