Ripoti ya Takwimu za Elimu ya mwaka 2020 iliotolewa
na Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa-TAMISEMI, Inaonesha idadi
ya wanafunzi walio rudia madarasa kwa shule za Msingi za serikali na binafisi kwa
halmashauri na Mkoa nchini.
Jumla ya wanafunzi 379683
walirudia
madarasa kuanzia darasa la kwanza hadi la saba kwa mwaka 2020 kwa Shule zote za
Serikali na binafisi Tanzania bara.
Jedwali hapo chini linaonesha uhalisia : –
DARASA |
2020 |
||
WAVULANA |
WASICHANA |
JUMLA |
|
Darasa I |
40940 |
34109 |
75049 |
Darasa II |
42895 |
34731 |
77626 |
Darasa III |
52663 |
42024 |
94687 |
Darasa IV |
63404 |
54358 |
117762 |
Darasa V |
1729 |
1580 |
3309 |
Darasa VI |
5287 |
5488 |
10775 |
Darasa VII |
273 |
202 |
475 |
Jumla Kuu |
207191 |
172492 |
379683 |
Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu ya Mwaka
2020.
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]