Jumla ya watoto wenye ulemavu 6912 walioandikishwa
Darasa la chekechea wakike walikuwa 3,334 na wakiume walikuwa 3,578 kwa mujibu
wa ripoti iliyozinduliwa sepemba
14, 2021ya utafiti juu ya upataji
elimu ya awali/ kindagaten kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara.
Kipengele hiki
kilichopo katika ukurasa wa 14 wa Ripoti, kinaonesha kundi la miaka mitano
watoto wa kiume walikua 1514
na wa kike wakiwa 1475 ikiwa ndio kundi
lenye watoto wengi wenye ulemavu waliongoza kuandikishwa mwaka 2020.
Idadi
ya watoto wenye ulemavu walisajiliwa darasa la awali imeshuka kutoka watoto 7578 mwaka 2019 hadi kufikia watoto 6912 mwaka 2020.
Jedwali
hapo chini linaonesha uhalisia.
UMRI |
WATOTO WA |
WATOTO WAKIKE |
JUMLA |
|
2020 |
|
|
MIAKA |
146 |
158 |
304 |
MIAKA |
695 |
673 |
1368 |
MIAKA |
1514 |
1475 |
2989 |
MIAKA |
843 |
682 |
1525 |
ZAIDI |
380 |
346 |
726 |
Chanzo: Haki Elimu
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]