By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: TAKWIMU: KIWANGO CHA USAJILI WA WATOTO WENYE ULEMAVU DARASA LA CHEKECHEA KILISHUKA 2020
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Elimu > TAKWIMU: KIWANGO CHA USAJILI WA WATOTO WENYE ULEMAVU DARASA LA CHEKECHEA KILISHUKA 2020
ElimuUchambuzi na Takwimu

TAKWIMU: KIWANGO CHA USAJILI WA WATOTO WENYE ULEMAVU DARASA LA CHEKECHEA KILISHUKA 2020

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/29 at 2:31 PM
By Tanzania Kids Time 1 Min Read
Share
SHARE

Jumla ya watoto wenye ulemavu 6912 walioandikishwa
Darasa la chekechea wakike walikuwa 3,334 na wakiume walikuwa 3,578 kwa mujibu
wa
ripoti iliyozinduliwa septemba
14, 2021ya utafiti juu ya upataji
elimu ya awali/ kindagaten kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara.

Kipengele hiki
kilichopo katika ukurasa wa 14 wa Ripoti, kinaonesha kundi la miaka mitano
watoto wa kiume walikua
1514
 na wa kike wakiwa 1475 ikiwa ndio kundi
lenye watoto wengi wenye ulemavu waliongoza kuandikishwa mwaka 2020.

 Idadi
ya watoto wenye ulemavu walisajiliwa darasa la awali imeshuka kutoka watoto
7578 mwaka 2019 hadi kufikia watoto 6912 mwaka 2020.

Jedwali
hapo chini linaonesha uhalisia.

UMRI

WATOTO WA
KIUME

WATOTO WAKIKE

JUMLA

2020

MIAKA
3

146

158

304

MIAKA
4

695

673

1368

MIAKA
5

1514

1475

2989

MIAKA
6

843

682

1525

ZAIDI
YA MIAKA 6

380

346

726

Chanzo: Haki Elimu

Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –

John Kabambala: [email protected] 

Hamad
Rashid:
[email protected]

You Might Also Like

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi

Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili

Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania

KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.

UWEZO TANZANIA YARATIBU KIKAO CHA MIKAKATI YA KUWASHIRIKISHA WAZAZI UELIMISHAJI VIJANA STADI ZA MAISHA.

Tanzania Kids Time November 13, 2021
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article TAKWIMU: KIWANGO CHA USAJILI WA WATOTO WENYE ULEMAVU DARASA LA AWALI KILISHUKA 2020
Next Article TAKWIMU: RUZUKU INAYOTOLEWA NA SERIKALI KWENDA SHULE ZA MSINGI HAIKUKIDHI MAHITAJI YA ELIMU YA AWALI
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?