Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020 iliotolewa
na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, inaonesha idadi ya
wanafunzi yatima wavulana na wasichana kwa shule za msingi za serikali na binafisi kwa
halmashauri na Mkoa nchini.
Jumla ya wanafunzi wa Darasa la kwanza walio andikishwa
kwa mwaka 2020 ni 10,925,896 Wavulana ni 5,443,914
na Wasichana ni 5,481,982
kwa Shule zote za Serikali na binafisi Tanzania bara.
Mkoa wa Mwanza
unaongoza kwa kuwa na wanafunzi Wavula yatima walio andikishwa 394098 na Wasichana 403441 wa
darasa la kwanza, huku Mkoa wa Dar es
Salaam ukifuatia kwakuandikisha wanafunzi Wavulana 350460 na Wasichana 356034.
Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu ya Mwaka
2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]