Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti juu ya upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania
Bara , iliyozinduliwa sepemba 14, 2021 na Shirika la Haki Elimu
Tanzania, imebainisha Utafiti uligundua kuwa 72.5% ya shule zina madarasa yaliyotengwa kwa ajili ya wanafunzi wa
Darasa la awali kwa wenye ulemavu.
Hata hivyo, 66% ya madarasa yalipangwa kama madarasa ya shule ya msingi, na 32% ya madarasa katika shule zilizo
tembelewa yangeweza kuelezewa kuwa yanafaa, madawati ya ukubwa wa mtoto, kona
za kujifunzia na maonyesho ya darasani.
Katika shule nyingine takriban 7.5% watoto wa darasa la awali walikuwa
wakipokezana na wanafunzi wa madarasa mengine.
Hata hivyo takriban 3.8% shule zilizofikiwa hawakuwa na Darasa maalum au Darasa la kupokezana
badala yake madarasa yao yalifanyika
nje.
Chanzo:
Haki Elimu
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]