Afisa Habari wa Shirika la UNICEF Tanzania: Penina Sangiwa
Kufuatia waraka wa Serikali ulioelekeza wanafunzi wa
kike waliopata ujauzito warejee shule katika mfumo rasmi baada ya kujifungua
wadau wa Elimu nchini wameipongeza Serikali kwa hatua hiyo.
Bi, Penina Sangiwa ni Afisa Elimu kutoka Shirika la
umoja wa kimataifa la kuhudumia watoto, alisema Serikali imepiga hatuka kubwa
ya kuhakikisha kiloa mtoto mwenye umri wa kusoma anapata Elimu.
ukititaji vifaa vya Camera na vya kisasa vinapatikana Morogoro: Asak Technology wapigie sasa : 0658251765 siku zote watakuhudumia.
Penina aliongeza kuwa ni jitihada kubwa zinatakiwa
kuchukuliwa na Serikali, wadau wa Elimu na mashirika na Taasisi mbalimbali
kueneza Elimu ya Afya ya uzazi kwa wasichana Shuleni ili kuepukana na mimba
ambazo zinaweza kujitokeza tena.
kwa mujibu wa Takwimu za Elimu ripoti ya Best 2020
inaeleza jumla ya idadi ya wanafunzi wa kike 1,135 sawa na 0.7% walipata
ujauzito katika Shule za Msingi, ilhali shule za Sekondari walikua 5,398 sawa
5.5% mwaka 2019.
wanafunzi wa kituo cha kulelea watoto GODLY DAY CARE CENTER kilichopo Chamwino Morogoro,, shule inamazingira mazuri wazazi wanashauriwa kuwapelewa watoto mwezi januari 2022.