By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: WATOTO WANANE WAMEHITIMU ELIMU YA KINDAGATE MJOI DAY CARE AND NURSERY SCHOOL WALEZI WAPONGEZWA
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Elimu > WATOTO WANANE WAMEHITIMU ELIMU YA KINDAGATE MJOI DAY CARE AND NURSERY SCHOOL WALEZI WAPONGEZWA
ElimuUchambuzi na Takwimu

WATOTO WANANE WAMEHITIMU ELIMU YA KINDAGATE MJOI DAY CARE AND NURSERY SCHOOL WALEZI WAPONGEZWA

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/29 at 2:30 PM
By Tanzania Kids Time 3 Min Read
Share
SHARE

 

         wanafunzi wahitimu wa Elimu ya kindagate Mjoi day care and Nursery School.

Pongezi hizo zilitolewa na wazazi pamoja na walezi
waliohudhuria katika Mahafali ya pili ya kituo cha kulelea watoto mchana, Mjoi
day care and Nursery School iliyofanyika katika ukumbi wa nje katika
kituo hiko kilichopo Kata ya Kasanga Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Abugae Hamisi ni miongoni mwa wazazi
waliohudhuria Mahafali hayo alisema ‘’niwaombe wazazi wenzangu kuwa, Elimu ni huduma
na huduma haina mipaka kwa hiyo popote ulipo mlete mwanao hapa Mjoi day care
walezi wa hapa wanafundisha vizuri na watoto wanaelewa’’

Mzazi mwingine ni Asia Mohammed ambaye watoto wake wawili
wamesherehekea Mahafali Mjoi day care and Nursery School alisema ‘’kwakweli kituo ni kizuri, mwanangu mmoja
kamaliza mwaka jana hapahapa na ninashukuru mpaka leo hii yuko vizuri na shule niliyompeleka anafanya vizuri, kituo hiki walimu wake wanafundisha vizuri
na kina mazingira mazuri kwa watoto kukaa’’  

                Kikumbi Culture and desgning wanakukaribisha kufika Ofisini kwao Mtaa wa Uhuru karibu na Uhuru Park ujionee vitu vya asili vinavyotengenezwa kwa ajili yako muafrika ikiwemo uchoraji. unaweza kuwapigia sasa:  0659880721 au 0715262709.

Ndugu mwandishi wa Habari leo ilikua ni Mahafali
yetu hapa Mjoi day care and Nursery School, tunamshukuru Mungu kwamba wanafunzi
wetu tumewaandaa vizuri na hatimaye siku ya leo wameweza kukamilisha muda wao
wa kuwepo hapa tayari kwa ajili ya kujiunga na Shule za Msingi’’ alisema
Mbwiliza Wilson Mfunya Mkurugenzi wa Mjoi day care and Nursery School.

Mbwiliza aliongeza kuwa ‘’Mwaka 2022 tumejipanga
kuboresha zaidi mazingira ya watoto kujifunzia ili kuendele kutoa malezi bora ya
watoto kwasababu tunaamini tutakua na watoto wengi zaidi ya Mwaka huu, na
niwaombe wazazi na walezi kuwaleta watoto wao hapa sehemu sahihi ya malezi bora
ya watoto’’

Ikiwa ni Mahafali ya pili kufanyika Mjoi day care and
Nursery School, Jumla ya wanafunzi wanane wamehitimu Elimu ya kindagate ilhali
Mwaka 2020 watoto waliohitimu walikua waawili tu.

     Na Hamad Rashid.

 

 

 

You Might Also Like

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi

Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili

Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania

KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.

UWEZO TANZANIA YARATIBU KIKAO CHA MIKAKATI YA KUWASHIRIKISHA WAZAZI UELIMISHAJI VIJANA STADI ZA MAISHA.

Tanzania Kids Time December 5, 2021
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article ELIMU YA AFYA UZAZI ITOLEWE SHULENI ILI KUMLINDA MTOTO WA KIKE ASIPATE UJAUZITO
Next Article MTOTO WA TWAHA RUBAHA KIDUKU, SAMEER TWAHA AKABIDHIWA UBALOZI WA GREEN APPLE DAY CARE CENTERS
1 Comment
  • madainafus says:
    March 4, 2022 at 6:59 pm

    Harrah's Cherokee Casino Hotel – Mapyro
    Harrah's 전주 출장마사지 Cherokee 오산 출장안마 Casino Hotel is 목포 출장샵 located in the mountains in western North Carolina, just steps from McClellan International Airport. This is 과천 출장마사지 an  Rating: 5 · ‎1 vote 공주 출장마사지 · ‎Price range: $$

    Reply

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?