By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: VIPAJI VYA WANAFUNZI WA SUN SHINE DAY CARE VYAWAKOSHA WAGENI WAALIKWA KATIKA MAHAFALI YA KUHITIMU CHEKECHEA
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Elimu > VIPAJI VYA WANAFUNZI WA SUN SHINE DAY CARE VYAWAKOSHA WAGENI WAALIKWA KATIKA MAHAFALI YA KUHITIMU CHEKECHEA
ElimuUncategorized

VIPAJI VYA WANAFUNZI WA SUN SHINE DAY CARE VYAWAKOSHA WAGENI WAALIKWA KATIKA MAHAFALI YA KUHITIMU CHEKECHEA

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/29 at 2:30 PM
By Tanzania Kids Time 2 Min Read
Share
SHARE

 

Siku ya tarehe 04/12/2021 yalifanyika Mahafali ya
wanafunzi wanane waliohitimu Elimu ya Kindagate katika kituo cha kulelea watoto
mchana Sun shine kilichopo eneo la Nanenane Manispaa ya Morogoro, ambapo
wahitimu walionesha uwezo mkubwa kutumia vipaji walivyonavyo ikiwemo mitindo ya
mavazi na kuimba.

Mgeni Rasmi katika hafla hiyo Afisa muuguzi Rachel
Missago alisema ‘’nimefurahishwa na uwezo walioonesha watoto nimeona wanavipaji
lakini pia walimu wamefanya kazi kubwa mpaka sasahivi tunashuhudia maendeleo
mazuri ya watoto wetu, walimu walezi hongereni sana’’

     wanafunzi wahitimu wa Sun shine day care wakiwa wamevalia mavazi ya harusi

Bi, Rachel aliongeza kuwa wazazi wanapaswa kujitoa
ili kuchangia kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za walimu ili kuendelea
kufurahia malezi bora wanayopata watoto ikiwa ni pamoja na kuchangia vifaa vya
michezo au Rasilimali Fedha.

Akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Sun
Shine day care, Witness Foya alisema kituo kimekua na mafanikio makubwa tangu
kianzishwe, ambapo kikubwa ni wazazi kuwa waelewa na kupenda huduma ya malezi ya
watoto yanayotolewa kituoni hapo.

Asaki Technology ndio Duka pekee la vifaa Bora ukiwa Mjini Morogoro wanapatikana Mtaa wa Ngoto wapigie kwa kupata huduma uitakayo: 0658251765.

Mwadawa Milambo ni miongoni mwa wazazi waliohudhuria
Mahafali alisema ‘’kwakweli hii Sun Shine day care ni mkumbozi katika Jamii
yetu, ni Kituo ambacho kinafanya vizuri, kinafundisha vizuri na kinawalea
watoto wetu katika malezi bora’’

Zakwetu Africa ni Brandi ya ushonaji Nguo za kisasa za kiafrica iliyopo Mtaa wa Uhuru Mjini Morogoro, karibu ujipatie mavazi tofauti tofauti unaweza piga simu kwa mawasiliano: 0693550074.

Kituo cha Sun shine day care, kilianzishwa Mwaka
2018, hii ikiwa ni Mahafali yake ya Nne kufanyika Mwaka 2021 kikiwa na jumla ya
wanafunzi wanane waliohitimu tayari kujianga na Shule za Msingi kwa ajili ya
masomo ya Darasa la kwanza Mwaka 2022.

Na
Hamad Rashid

 

You Might Also Like

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi

Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili

Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania

KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

Tanzania Kids Time December 8, 2021
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article MTOTO WA TWAHA RUBAHA KIDUKU, SAMEER TWAHA AKABIDHIWA UBALOZI WA GREEN APPLE DAY CARE CENTERS
Next Article WAZAZI WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KITUO CHA VALENTINE DAY CARE CENTER KILICHOPO MAZIMBU
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?