VYUMBA (6) KWA WANAFUNZI (1088) hii ni idadi ambayo haiendani na wingi wa wanafunzi waliopo,hiyo staajabu ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi kagera huko mkoani geita ndg.MAHEBE CHIGULU.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Serikali…
Tunaomba wasamalia wema waje kuwajengea choo watoto hawa wenye mahitaji maalumu,bi, Mkonongo kutoka mkoani Songwe.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Walimu wa kitengo cha…
Afisa Mtendaji asema tutahakikisha tunawakamata wazazi ambao wanashindwa kuwatimizia mahitaji ya msingi ya watoto wao ikiwemo sare za shule.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Wanafunzi katika shule…
Hapa ndipo wanapo somea watoto hawa tangu chekechea hadi walipo mpata msamalia mwema wa wakuunga mkono ujenzi wa jengo moja la darasa, Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Wananchi wanachama wa jumuiya…
Je,mpango wa Wizara ya Afya kuunda vikundi vya malezi ili kukomesha ukatili kwa watoto utazaa matunda?
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu…
Hakikisheni mnawachukulia hatua watuhumiwa ambao walitoroka baada ya kuwafanyia vitendo vya ukatiri wa Watoto ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Wizara ya Katiba…
NENDA UKAANDIKE MAJIBU YA UONGO ILIUSIFAURU MITIHANI NIKWABAADHI YA WAZAZI MKOANI TABORA, SERIKALI IMEAHIDI KUCHUKUA HATUA DHIDI YAO.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Wazazi na walezi katika…
CHAGUZI KUU MBILI MWAKA HUU WA 2019 NA 2020 KUNA UWEZEKANO WAKUONGEZEKA KWA HOFU KWA WATU WENYE UALBINO NCHINI, TAARIFA TOKA KITUO CHASHERIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA:
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Kituo cha sheria…
Chonde chonde wazazi wetu changieni chakula iliwalimu waanze kutupikia hapashuleni,hayo nimaneno ya wanafunzi wa shule ya msingi USHOKOLA wilaya ya kaliua mkoani tabora wakiwaomba walimu na wazazi kuhusu chakula shuleni.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Wanafunzi katika…
Mbali na mauwaji ya watoto, kesi 64 zimeripotiwa za ukatili dhidi ya watoto wilaya ya ludewa mkoani njombe tangu mwezi jannuary 01 hadi junne 30 mwakahuu.
LUDEWA NJOMBE: Picha ni kwamsaada wa Morondiokwetu blog. Kutokana na Matukio mbalimbali…