Umuhimu wa Lishe Wakati wa Ujauzito na Unyonyeshaji.
Lishe ya wanawake wakati wa ujauzito na kunyonyesha ni muhimu kwa afya…
Chanzo cha wiki ya unyonyeshaji 1990 hadi leo.
WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI 2020:Afisa lishe mkoa wa Morogoro Bi, Salome Magembe…
Save the children wa wezesha semina ya wandishi wa habari mkoa wa morogoro.
Shirika lisilo la kiserikali la Save the Children kupitia mradi wake wa…
Yaliyo tazamiwa kutekelezwa tangu kuanzishwa kwa ILO 1919.
Tangu kuanzishwa kwa ILO mnamo1919,kupinga ajira za utotoni limekuwa jambo la msingi…
Nchi 187 duniani sasa za peperusha bendera ya kupinga ajira za utotoni.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya shirika la kimataifa la kazi…
Watoto wetu wakifikisha mwezi mmoja tunawanywesha maziwa ya ng’ombe azoee.
"Tuwawezeshe wanawake kunyonyesha watoto kwa afya bora na ulinzi wa mazingira"Hiyo ndio…
Asilimia 97 ya watoto chini ya miaka miwili wananyonyeshwa maziwa ya mama
Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji kitaifa yamefanyika katika Wilaya ya Muheza mkoani…
Jamii msaidieni majukumu mama anayenyonyesha kuepusha utapiamlo kwa mtoto.
ULISHAJI usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi…
Hasira kwa mama anae nyonyesha husababisha maziwa yasitoke.
Hapa hospitali hakika wana jitahidi kutoa huduma kwa Mama na mtoto maana…
Mama ukizingatia unyonyeshaji utaepukana na saratani ya matiti.
Wiki ya unyonyeshaji huanza tarehe 01-07 August ya kila mwaka,kuhamasisha wazazi kuhakikisha…