ELIMU YA AFYA UZAZI ITOLEWE SHULENI ILI KUMLINDA MTOTO WA KIKE ASIPATE UJAUZITO

                                 Afisa Habari wa Shirika la UNICEF Tanzania: Penina Sangiwa

Kufuatia waraka wa Serikali ulioelekeza wanafunzi wa kike waliopata ujauzito warejee shule katika mfumo rasmi baada ya kujifungua wadau wa Elimu nchini wameipongeza Serikali kwa hatua hiyo.

Bi, Penina Sangiwa ni Afisa Elimu kutoka Shirika la umoja wa kimataifa la kuhudumia watoto, alisema Serikali imepiga hatuka kubwa ya kuhakikisha kiloa mtoto mwenye umri wa kusoma anapata Elimu.

          

ukititaji vifaa vya Camera na vya kisasa vinapatikana Morogoro: Asak Technology wapigie sasa : 0658251765 siku zote watakuhudumia.

Penina aliongeza kuwa ni jitihada kubwa zinatakiwa kuchukuliwa na Serikali, wadau wa Elimu na mashirika na Taasisi mbalimbali kueneza Elimu ya Afya ya uzazi kwa wasichana Shuleni ili kuepukana na mimba ambazo zinaweza kujitokeza tena.

kwa mujibu wa Takwimu za Elimu ripoti ya Best 2020 inaeleza jumla ya idadi ya wanafunzi wa kike 1,135 sawa na 0.7% walipata ujauzito katika Shule za Msingi, ilhali shule za Sekondari walikua 5,398 sawa 5.5% mwaka 2019.


wanafunzi wa kituo cha kulelea watoto GODLY DAY CARE CENTER kilichopo Chamwino Morogoro,, shule inamazingira mazuri wazazi wanashauriwa kuwapelewa watoto mwezi januari 2022.
Na Mwandishi wa Habari John Kabambala.

Subscribe to our Newsletter

Get latest updates of our stories, News and other updates from TKT direct to your email.