TAKWIMU: MKOA WA TABORA UNAONGOZA KUFELISHA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA

Ripoti ya Takwimu za Elimu ya Mwaka 2020, Best 2020 imetaja idadi ya wanafunzi wa Darasa la kwanza hadi la saba walikua ni 10, 605,430 ambao walikua wameandikishwa shule.

Kati yao wanafunzi 9336 wakike wakiwa 4279 na wakiume wakiwa 5057 walifeli darsa la kwanza.

 Aidha mkoa ulioongoza kufelisha wanafunzi wa Darasa la kwanza ni Tabora ulioandikisha wanafunzi 563, 512 ambapo kati ya hao jumla ya wanafunzi 1237 wakike wakiwa 600 na wakiume wakiwa 637 walifeli Darasa la kwanza.

Chanzo:  Best 2020

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Our main partner

Subscribe to our Newsletter

Get latest updates of our stories, News and other updates from TKT direct to your email.