TAKWIMU:MKOA WA SIMIYU UNAONGOZA KUFELISHA WANAFUNZI WA DARASA LA PILI

Ripoti ya Takwimu za Elimu ya Mwaka 2020, Best 2020 imetaja idadi ya wanafunzi wa Darasa la kwanza hadi la saba walikua ni 10, 605,430 ambao walikua wameandikishwa shule, Kati yao wanafunzi 16,911 wakike wakiwa 7,611 na wakiume wakiwa 9,300 walifeli darsa la pili Mwaka 2020.

Aidha mkoa ulioongoza kufelisha wanafunzi wa Darasa lapili ni Simiyu ulioandikisha wanafunzi 450,356 ambapo kati ya hao jumla ya wanafunzi 2,452 wakike wakiwa 1100 na wakiume wakiwa 1325 walifeli Darasa la pili.

Chanzo:  Best 2020

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Subscribe to our Newsletter

Get latest updates of our stories, News and other updates from TKT direct to your email.