UTAFITI: 75% YA SHULE JUMUISHI HAZINA VYOO MAALUM KWA AJILI YA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU

Ripoti ya utafiti juu ya upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara , iliyozinduliwa sepemba 14, 2021 na Shirika la Haki Elimu Tanzania Utafiti ulio fanyika ukihusisha maeneo matatu ya Shule ambayo ni shule shikizi, jumuishi na za kawaida, kusudi ya ujumuishaji wa vipengele hivi ilikuwa kuelewa kama kulikuwa na tofauti katika suala la upatikanaji wa miundombinu ya kubeba watoto wa shule za awali wenye ulemavu kulingana na utofauti wa shule.

Matokeo yalifichua kuwa Shule za umma zina miundombinu midogo ikilinganishwa na shule jumuishi. Kwa mfano, Asilimia 75 ya shule-jumuishi hazina vyoo maalum vilivyotengwa kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu.

Ni asilimia 57 tu ya shule jumuishi hazina vyoo vya wanafunzi wenye ulemavu. Takriban asilimia 34 ya shule-jumuishi hazina njia panda ikilinganishwa na asilimia 30 ya shule jumuishi.

Chanzo: Haki Elimu

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Our main partner

Subscribe to our Newsletter

Get latest updates of our stories, News and other updates from TKT direct to your email.