Kubadilisha madarasa katika mazingira ya kujifunzia huchochea maendeleo ya usomaji kwa mwanafunzi, Walimu wanatakiwa kufundishwa katika kuzalisha vifaa vya kujifunzia na kuanzisha maktaba zenye vitabu vingi vya hadithi kwenye shule zao jambolitakalo ongeza kasi ya elimu kwa watoto. Hii imefanywa Mbeya,Njombe na Songwe kwamsaada wa mladi wa KITABU KITABU CHA WATOTO na CHUO CHA WALIMU CHA KOROGWE kilichopo mkoani Tanga UNICEF TANZANIA imesema.