Wakati serikali na wadau wengine wa Elimu nchini wakiendelea kupambana na juu ya sekta ya elimu Watoto nao wanaendelea kuwahimiza wazazi wao kuwaandikisha kwenye maktaba zamikoa ilikuendelea kujifunza zaidi na kuongeza maarifa,na ufahamu wao kwenye masomo yao.
Devid Chogo nimsitaafu wa jwtz anaeishi Dumila wilayani kilosa mkoani morogoro aliwashauli na kuwahiza wazazi kuwa nautaratibu wa kuwapeleka watoto kwenye maktaba za mikoa, Vyuo na Mashirika mbalimbali ilikuwachochea kupenda kujisomea.
Watoto hao waliema kitendo cha kufika kwenye maktaba ya mkoa wamejifunza mambo mengi ikiwemo kukifahamu kitengo kinacho shughurika na watoto kila jumamosi kwenye maktaba hiyo.
Aidha Edward Fungo yeye nimkutubi mkuu wa maktaba za mkoa wa morogoro amesema utaratibu huo nimzuri kwani hauna tozo yeyote kwa kilamtu anae penda kuju maktaba na shughur zake.
Hatahivyo ameomba wazazi kuwaandikisha watoto wao kwenye maktaba ilikila sehemu atakapo kwenda mtoto huyo mikoa yote atapewahuduma ya maktaba kama alipojiandikisha.