Wakati dunia ikiadhimisha wiki ya unyonyeshaji wa watoto Agosti 1-7,
kuna baadhi ya changamoto ambazo zimetajwa katika kukwamisha akina mama
kuwanyonyesha watoto wao katika miezi sita ya kwanza tangu mtoto
anapozaliwa, lakini pia jinsi ya kumnyonyesha mtoto nayo ni changamoto
kwa wengine.
Mwakahuu
yakibeba kauli mbiu, “wawezeshe wazazi kufanikisha unyonyeshaji“, muuguzi
Jostina Shirima kutoka kituo cha afya kijiji cha Lubeho wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ametoa mafunzo ya
unyonyeshaji kwa wanawake kituoni hapo kwa ushirikiano wa shirika la Save The Children Tanzania.
JINSI YA KUMNYONYESHA MTOTO TANGU KUZALIWA.
Leave a comment