Jamii na
serikali Nchini zimetakiwa kujiwekea utamaduni wa kuwalea na kuwatunza watoto
wanaoishi na ulemavu na wasio walemavu ili waweze kupata huduma bora zilizopo katika kilanyanja
kwani pia wanahaki kama wengine za kufanya kazi kulingana na ulemavu wao ili kuchagiza maendeleo ya kudumu ya umoja wa mataifa(SDGs).

Rai hiyo imetolewa na Afisa Ustawi wa Jamii
Wilaya ya Ludewa Charlse Mpangala alipokuwa anazungumzia hali ya watoto
wenye ulemavu katika wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe.

Hatahivyo wananchi na wadau mbalimbali
wameelea hisia zao kuhusu matendo mabaya wanayo fanyiwa watoto jambo ambalo
nikinyume na maadiri na sheria za nchi.

Aidha
Nicksoni Mahundi antoka kwenye shirika la IDOYDC hili nishirika lisilo la
kiserikali linalofanya shughuli zake Iringa na wilaya ya Ludewa mkoa wa
Njombe ametoa wito kwa jamii kuendelea
kuwasaidia watoto wenye mahitaji mbalimbali ilikuwaunga mkono ndoto zao. Na mwandishi wetu kutoka Ludewa Njombe
Mr.SALUM.