Zaidi ya wanafunz 13 wa shule ya secondar kiwanja iliyopo Wilayan
chunya Mkoa Mbeya mapema hii leo wamekutana na adhabu ya viboko kutoka kwa mkuu
wa mkoa wa mbeya Mh. Albart Chalamila wakat alipotembelea shulen hapo na
kuzungumza na wanafunz pamoja na walimu,kuhusu kitendo cha wanafunz hao kukutwa
na simu na siku chache nabaada ya kunyang’anywa simu hizo mabwen yakachwamwa
moto jambo ambalo limemshangaza mkuu wa mkoa huyo na kuamua kuwaadhibu wanafunz
hao kwa kuwachapa viboko mbele ya wanafunzi na walimu wao.
Aidha mbali na watoto waliochapwa viboko,kuna baadhi yawanafunz wengine
13 ambao wanatuhumiwa kuchoma bweni moto wanashikiliwa na jesh la polisi
Wilayani chunya kwa uchunguz zaidi ambapo wapo wengine wako chini ya umri wa miaka 18,kwenye tukio hilo hakuna mwanafunzi yoyote
aliepata madhara katika tukio hilo kwan wanafunz wote walikuwa wanajisomea muda
huo na moto huo ulizuka sept 30 mwaka huu.
Hata hivyo Mh. Chalamila amesema
kwamba inasadikika kuwa wanafunzi hao walikuwa wanalipiza kisasi baada ya smu
zao kuchukuliwa na uongozi washule,hivyo walitaka kuchoma bweni linguine na
nyumba ya mwalimu ikiwemo ofisi iliotunza nyaraka za serikali jambo ambalo
linge iweka shule hiyo kwenye wakati mgumu kiutendaji. Kwaupande wake Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Maryprisca
Mahundi amesikitishwa na tukio hilo nakuwasihi wanafunzi kusoma na
siokujihusisha na mambo mengine yanyo ashiria uharifu,wanafunzi walioathirika
kwakukosa mabweni ya kulala katiaka ajali hiyo ni 150 na kwamba mpaka sasa
misaada mbalimbali imetolewa na wadau wa maendeleo ya Elimu ndani na nje ya
Wilaya hiyo.
Na Veronica Mtauka.