Shule ya msingi Kamsekwa
katika wilaya ya Kaliua mkoani Tabora inakabiliwa na upungufu wa
vyumba kumi na nne (14) vya madarasa huku ikiwa na jumla ya wanafunzi elfu moja
na kumi na moja (1,011).

Akizungumza
na Tkt Radio mwalimu mkuu wa shule
ya msingi Kamsekwa, Fabiani Masanja amesema kutokana na
upungufu wa madarasa imekuwa ikiwalazimu darasa moja kuwa na wanafunzi zaidi ya
mia moja hivyo kufanya ufundishaji kuwa mgumu,wakati huo nyumba za waalimu na
matundu ya vyoo shuleni akitaja kuwa nitatizo lingine lililopo shuleni hapo.

Nao baadhi
ya wanafunzi wameiomba serikali kutatua changamoto zinazoikabili shule hiyo
ikiwa ndionjia pekee na chachu ya kupandisha kiwango cha taaluma shuleni
hapo,jambo lingine linalo wasumbua nikujazana kwenye chumba cha darasa jambo
linalo sababisha ongezeko la joto kutokana na wingi wa wanafunzi.

Joseph
Bilasa ni afisa mtendaji wa kijiji cha Kamsekwa
ameweka wazi mikakati ya kuboresha miundombinu shuleni hapo, amesema kuanzia
mwezi ujao atahitisha kikao cha wazazi ili kukubaliana kuanza kuchimba mashimo
ya choo,hiyo ikiwa nihatua ya kuboresha miundo mbinu ya shule hiyo.

Nae afisa tarafa ya Igagala, Simon Malando amewataka
wananchi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za shule kwani jambo hilo
nifaida kwa jamii nzima sio jambo la kuiachia serikali,Wazazi wanatakiwa
kuendelea kuwa andikisha watoto shule na kuendelea kuwahimiza kuongeza jitihada
za kusoma ilikutimiza ndoto zao.

Na
Simon Jumanne kutoka Wilaya Ya Kaliua Mkoani Tabora.