NGONOKWAWATOTO
Maishamagumu
imekuwa nimoja kati yakisingizio kikubwa kwavijana wakiume namabintiwengi hapanchini
kushiriki ngonozembe kwa watu wanaowazidi umri bilakujali afyazao na malengo
yao.

Akizungumza katika warsha fupi ya elimu ya
vijana Mkurugenzi waelimu ya kikristo kwa vijana katika kanisa la AIC lulembela
local Church ya mwingilo, Mwinjiristi Paul
Richard Amesema mabinti wengi wamepotea nakuharibu maishayao ya badae kutokana
na kushindwa kujisimamia wao wenyewe katikamaamuzi.

Aidha
Paul Richard amesema mabinti wamekuwa
hawaeleweki katika maishayao kutokana na kuwa wepesi wakushawishika navitu vidogo
ambavyo wanapokea kutoka kwa wanaume.

Kwaupandewake Veronica Ndabagoye ambaye ni mzazi aliyehudhuria Katika warshahiyo,amesema
Makundi yamekuwa chanzo chamabinti wao kujiingiza Katika ngono zembe wakiwa na umrimdogo,kwaupande
wake Zephania Juma amesemamafunzohayo
kwake yamemusaidia kujisimamia mwenyewe katikamaamuzi.

Na Nichoraus Paul Lyankando Mbogwen Geita.