Mtu
mmoja aliyefahamika kwa jina la Shani Chamwela (35), mkazi wa Magoeko
wilayani Gairo, anaekabiriwa na kesi ya kumrubuni
na kumbaka mtoto wa kiume ambaye
niwajirani yake tangu akiwa na umri wa miaka tisa hadi mwaka huu ikiwa anaumri
wa miaka kumi na miwili.

Kesi hiyo No.65/ ya mwaka 2019
ilifunguliwa tarehe 13/01/2019 katika
wilaya ya Gairo na baadae ilihamishiwa
Wilaya ya Kilosa, kutokana na uzito wa kesi hiyo illiamriwa isikilizwe katika
Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro ikiwa tarehe 18 Machi mwaka huu, ilisikilizwa kwa Mara ya Kwanza katika
mahakama hiyo na Hakimu Mkuu wa Mahakama hiyo Bi. Elizabeth Nyembele.

Hata
hivyo ilitakiwa kusikilizwa tarehe nane 08/11/2019 imeahirishwa baada ya hakimu
aliepaswa kuisikiliza hakuwepo na badala yake imepangwa kusikilizwa tarehe 11/12/2019
katika Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro.