Takribani visiwa vitano Mkoani KAGERA vimepunguza vifo
vya akina mama na watoto pamoja na changamoto za miundombinu zilizopo.

Mganga
mkuu wa Mkoa wa KAGERA, HASSAN MOHAMMED alisema Idadi
ya vifo upande wa visiwani kwa akina Mama mwaka 2018 vilikuwa 65 na mwaka 2019
vilikuwa 53 lakini pia kwa upande wa Watoto mwaka 2018 vilikowa 70 na
mwaka 2019 vilikuwa 65.

HASSAN
MOHAMMED alisema Idadi ya wanawake na watoto walioko katika visiwa hivyo ni
inakadiriwa milioni tatu wakati vituo vya afya vilivyopo bado havikidhi
kuhudumia idadi ya wakazi waliopo sambamba na kuwepo kwa watumishi wachache wa Afya
katika vituo vilivyopo.
Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Afya maendeleo ya jamii Jinsia Wazee na Watoto Daktari
ZAINABU CHAURA akiwa ziara ya kikazi mkoani Kagera alisema Serikali inafanya
jitihada kuhakikisha inaokoa vifo vya akina mama na watoto na kuweza kupunguza
changamoto ya uhaba wa watumishi wa afya na vituo vya Afya.

Amewashukuru watumishi wa Afya aliokutana nao na
kuwataka kuwa na moyo wa kufanya kazi kwa bidii kutokana na kazi hiyo kuwa kazi
ya wito pia kuwataka waendelee kukabiliana na changamoto wakati Serikali
ikizishughulikia.

Kwa mujibu wa mganga mkuu wa Mkoa wa KAGERA HASSAN
MOHAMMED Takwimu zinzonesha kati ya
visiwa 32 vilivyopo ni visiwa 26 wanavyoishi
watu ambapo visiwa vitano vya GOZIBA, BUMBILE MAZINGA, IKUZA na KEREBE, vinaongoza
kuwa na idadi kubwa ya vifo vya akinamama na watoto.

Na
Silivia Amandius -Kagera
Silivia Amandius -Kagera