Watoto wako kwenye wakati mgumu baada ya wanandoa
kuachana, hayo yamebainishwa na afisa ustawi wa jamii manispaa ya Bukoba Jaffety Kanoni wakati wamahojiano
maalumu na TKT na kueleza kuwa lipo
ongezeko kubwa la mashauri yanayofikishwa ofisini kwake ya wanandoa au familia wanaohitaji
kutengana.

Aidha kwa mwezi
amekuwa akipokea mashauri zaidi ya 50 ya aina hiyo huku akizitaja sababu
zinazopelekea kutokea kwa hali hiyo kuwa ni pamoja na hali ngumu ya kiuchumi ambapo
wanaume wanapoona mzigo wa kutunza familia umekuwa mkubwa wanakimbia, huku
wanawake wakitamani kuachana na waume zao na kuwatafuta wanaume wenye uwezo wa
kuwahudumia wakati huo wanaoteseka zaidi ni watoto.

Hatahivyo ameongeza
kuwa sababu nyingine ni wanandoa kuamua kuingia kwenye ndoa bila kujuana kwa
undani kitabia, Mabadiliko ya mfumo wa maisha unaopelekea maisha kuwa magumu na
kushuka kwa nidhamu/heshima kwa wanandoa wenyewe.

Bw,Kanoni amesema kuwa matokeo yake yamekuwa mabaya kwa
familia kwani yanafanya watoto kukosa malezi ya pande zote mbili na kushindwa
kupata matunzo ya kutosha hasa kwa zile familia ambazo wanaume anakuwa amekibia.

Bi,Dativa Edward ni mkazi wa mtaa wa Buyekera Manispaa
ya Bukoba yeye amekimbiwa na mume wake miaka miwili iliyopita na kumuachia
watoto wawili anasema kuwa anapata ugumu wa kuwalea watoto hao kutokana na
kutokuwa na uwezo wa kuwahudumia.

Hatahivyo licha ya kumpeleka mume wake kwenye vyombo
vya sheria na kuamuriwa achangie kiasi cha shilingi elfu 5 kila wiki kwa ajili ya
watoto alikataa kutekeleza maelekezo hayo nakuamua kuhama mji alipokuwa
akiishi.

Wakili kutoka shirika la msaada wa kisheria la MUHOLA
mkoani Kagera Bi,Telesia Bujiku anakiri pia shirika hilo linayo malalamiko mengi
ya wanaume kukimbia familia zao ambapo anashauri wanandoa wengi watumie njia ya
uzazi wa mpango ambayo itawasaidia kuwa na watoto wanaoendana na kipato chao.

Pia amewashauri wanawake kujenga tabia ya kufanya
kazi na kuondokana na utegemezi wa kila kitu kwa waume zao, na kwamba iwapo
wanaume na wanawake watashirikiana katika kutekeleza majukuu ya kifamilia itasaidia
kudumiasha maelewano.

Baadhi ya wakazi wa manispaa ya Bukoba waliozungumza
na kids Times wamesema kuwa jamii bado inahitaji elimu ya malezi na makuzi ya
watoto itakayoonyesha athari za watoto kulelewa na mzazi mmoja na kwamba kuongezeka
kwa wanandoa kutengana kunatokana na kupuuzwa kwa mila na desturi na kukubali mifuo
ya kigeni

Na,Rosemary Elias-Kagera.