Mkuu Wa Wilaya
Ya Njombe Bi.Luth Msafiri
amewaomba wadau wa Elimu
kuendelea kujenga vituo
vya kulelea watoto
Ili Kuimarisha ulinzi , usalama na Lishe kwa
watoto walio chini ya umri wa
miaka minne.
Ya Njombe Bi.Luth Msafiri
amewaomba wadau wa Elimu
kuendelea kujenga vituo
vya kulelea watoto
Ili Kuimarisha ulinzi , usalama na Lishe kwa
watoto walio chini ya umri wa
miaka minne.
Bi. Msafiri Amesema
Wilaya ya Njombe
Inachangamoto nyingi za
uangalizi watoto , akina mama
kutumia muda mwingi
katika kazi za
biashara na mashambani
huku wengine wakikosa
wasichana wa kusimamia
utoaji lishe nyumbani.
Wilaya ya Njombe
Inachangamoto nyingi za
uangalizi watoto , akina mama
kutumia muda mwingi
katika kazi za
biashara na mashambani
huku wengine wakikosa
wasichana wa kusimamia
utoaji lishe nyumbani.
Aidha amesema katika
swala la Elimu
Rasmi ambapo Maafisa Elimu
wameagizwa kwenda kusimamia
na kuchunguza elimu
wanayopewa watoto waliopo
katika vituo hivyo
vya Chekechea na
vile vinavyolea watoto
wenye chini ya miaka minne.
swala la Elimu
Rasmi ambapo Maafisa Elimu
wameagizwa kwenda kusimamia
na kuchunguza elimu
wanayopewa watoto waliopo
katika vituo hivyo
vya Chekechea na
vile vinavyolea watoto
wenye chini ya miaka minne.
Bi. Msafiri amebainisha
kwamba serikali imegundua
kuwepo kwa changamoto
ya watoto wa
shule za sekondari
kusafiri umbari mrefu na
kusababisha elimu kushindwa
kutolewa kikamilifu kwao
kutokana na watoto kuchoka
kwa safarindefu, kwani huchelewa kufika shuleni na hivyo
utatuzi wake ni kujenga
mabweni ili waishi kwenye maeneo ya shule zao.
kwamba serikali imegundua
kuwepo kwa changamoto
ya watoto wa
shule za sekondari
kusafiri umbari mrefu na
kusababisha elimu kushindwa
kutolewa kikamilifu kwao
kutokana na watoto kuchoka
kwa safarindefu, kwani huchelewa kufika shuleni na hivyo
utatuzi wake ni kujenga
mabweni ili waishi kwenye maeneo ya shule zao.
Awali akitoa
hotuba katika kikao cha
robo ya pili ya baraza
la madiwani la halmashauri hiyo
Makamu mwenyekiti Vasco Mgunda
amesema wanaendelea kuboresha
miundombinu ya vyoo, madarasa na
mabweni huku akiagiza kusimamia wazazi kupeleka watoto
kujiunga na masomo ya
sekondari kwa waliochaguliwa.
hotuba katika kikao cha
robo ya pili ya baraza
la madiwani la halmashauri hiyo
Makamu mwenyekiti Vasco Mgunda
amesema wanaendelea kuboresha
miundombinu ya vyoo, madarasa na
mabweni huku akiagiza kusimamia wazazi kupeleka watoto
kujiunga na masomo ya
sekondari kwa waliochaguliwa.
Akizungumza na TKT afisa
ustawi wa Jamii halmashauri ya
Wilaya ya Njombe Averino
Chaula amesema bado wanaendelea
kuimarisha ulinzi na usalama
kwa watoto kwa
kutengeneza mifumo inayotoa
elimu na ufuatiliaji wa
matukio ya watoto.
ustawi wa Jamii halmashauri ya
Wilaya ya Njombe Averino
Chaula amesema bado wanaendelea
kuimarisha ulinzi na usalama
kwa watoto kwa
kutengeneza mifumo inayotoa
elimu na ufuatiliaji wa
matukio ya watoto.
Na,Michael Ngilangwa-Njombe.