Shirika lisilo la kiserika la The Same Qualities Foundation limerejesha furaha kwa zaidi ya Watoto 500 wenye ulemavu wa Midomo Sungura kwa kuwafanyia upasuaji midomo yao hapa nchini bure,kwamjibu wa taarifa ilio tolewa leo na mkurungenzi wa shirika hilo Dr.Peter Mabula jijini Arusha.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Shirika lisilo la…
Miaka 30 tangu kupitishwa kwa mkataba wa haiki za mtoto,Mama wa kambo mnao olewa na baba zetu baada ya mama zetu kufariki au kuachana mtupende pia sisi watoto mliotukuta,Nasio kutufanyia ukatili nakuonekana hatufai tena kwa baba zetu.
Siku ya Mtoto Duniani wahusika watoa maoni mbalimbali. Normal 0 false…
TAARIFA YA WIZARA YA AFYA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI ZA MTOTO TAREHE 20 NOVEMBA, 2019.
1111MicrosoftInternetExplorer402DocumentNotSpecified7.8 磅Normal0 Tarehe 20 Novemba 2019 Wizara ya Afya, Maendeleo ya…
zoezi la kuwarudisha watoto katika familia zao wanaoishi na kufanya kazi mtaani limeanza,hatua hiyo imefikiwa baada ya kugundua ongezeko la watoto 1,254 waishio mitaani.
WIZARA YA AFYA. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amewataka wadau…
Kesi ya ubakaji kwa mtoto mdogo no.65 ya mwaka 2019 inayo mkabiri shani chamwela (35) inayosikilizwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa morogoro imeahirishwa hadi tarehe 11/12/2019 itakapo sikilizwa tena.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Mtu mmoja aliyefahamika…
Benjamin Samwel umri miaka 50,ambaka mtoto mwenye umri wa miaka 11 huko wilaya ya mbogwe mkoani geita.
1111MicrosoftInternetExplorer402DocumentNotSpecified7.8 磅Normal0 Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 50 mkazi wa…
Wakuu wa shule za msingi na maafsa elimu wa Igagala Wilaya ya kaliua mkoani tabora wakutana kujadili changamoto ya ukosefu wa chakula katika shule zao.
1111 Wakuu wa shule za msingi na maafisa elimu katika tarafa ya…
Ndoto zetu nikuwa wahasibu na madaktari,nimaneno ya wanafunzi kutoka shule ya msingi kinole katika kijiji cha kinole kilichopo wilaya ya Morogoro vijijini.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Watoto wana mengi…
SHIRIKA LA MOWECS LA IBUA MAKUBWA KATIAKA HALMASHAURI YA MOROGORO LINALO TEKELEZA MRADI WA INUA MTOTO:
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Shirika lisilo la…
Msiba wa maji si kwenu tu hata hukunako ,Wanafunzi wa shule ya sekondari Ikunguigazi Wilaya ya Mbogwe Mkoani wa Geita wazungumza.
1111MicrosoftInternetExplorer402DocumentNotSpecified7.8 磅Normal0 Wanafunzi wa shule ya sekondari Ikunguigazi Wilaya Mbogwe Mkoa…