Over 5,000 children will be born in Tanzania on New Year’s Day January 01/2020 – UNICEF
In 2020, UNICEF is calling for world leaders and nations to invest…
UTAFITI KUHUSU MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI WAHITAJIKA MKOANI KATAVI.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy…
Jopo la madaktari bingwa wa upasuaji kwa watoto wenye midomo sungura wapiga kambi katika hospital ya wilaya ya Kahama mkoani shinyanga yaanza leo Dec 16-20 mwaka huu.
Watoto wengi wenye tatizo la midomo sungura hapa nchini kwa miaka mingi…
Wananchi wa kata ya Kihonda manispaa ya morogoro waandamana kwenye ofisi za manispaa hiyo kupinga uchaguzi na upangaji washule za sekondari kwa watoto wao, kwa mwaka wamasomo 2020.
Wananchi wa kata ya Kihonda Magorofani walalamika kuhusu watoto wao kupangiwa shule…
Taasisi ya Twaweza yatoa Riport ya Tathimini ya kiwango cha kujifunza kusoma na kuandika kwa watoto nchini Tanzania kwa mwaka2019.
Tasisi ya Twaweza yatoa Takwimu mpya ya tathmini ya ujifunzaji wa Uwezo…
SHIRIKA LA MOWECS LA MKOANI MOROGORO KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WATOTO NA WANAWAKE, LIME ANZISHA KAMPEINI YA BABA IPENDE FAMILIA YAKO.
BABA IPENDE FAMILIA ni kampeni yenye lengo la kuwahamasisha akina baba…
Usikatae hapa kwetu wilaya ya kaliua Mkoani Tabora bado watoto wetu wanasomea kwenye banda la nyasi kama hili.
Kituo cha utayari IBUMBA kilichopo katika kitongoji cha IBUMBA kata ya…
Ushindi wa Nuru Ally katika shindano la kusaka vipaji lijulikanalo kama MAVUNDE TALENT SEARCH 2019, waleta hamasa kubwa kwa wazazi huko jijini dodoma.
Wazazi na walezi nchini wamehimizwa kuwaunga mkono watoto wao pindi wanapoonyesha kuwa…
Kutembea umbali mrefu kutafuta kwa watoto bado nichangamoto nchini.
Wananchi katika kitongoji cha LUGANJO MTONI kata ya USENYE wilaya ya KALIUA…