Jumla ya wanafunzi 1,670 sawa na asilimia 34 ya
waliopangwa kuripoti kuanza masomo ya sekondari january 2020 katika wilaya ya
KALIUA mkoani TABORA bado hawajaripoti huku Serikali ikiahidi kuchukua hatua
dhidi yao.

Akizungumza na TKT Radio Mkurugenzi mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya KALIUA, Daktari JOHN PIMA aliesema wanafunzi 4,879
wamefaulu kuanza masomo ya sekondari ambapo mpaka sasa wanafunzi 3,209 sawa na
asilimia 66 ndio pekee walioripoti shule.

Alisema wazazi ambao bado hawajakamilisha
mahitaji ya watoto wafike kuuona na uongozi wa shule ili kuepuka kuchukuliwa
hatua.

Afisa Tarafa ya KASHISHI, DANIEL SALAMBA alisema
kufunguliwa kwa shule mbili za sekondari kwenye Tarafa yake imekuwa chachu kwa
wazazi kuwapeleka shule watoto.

SALAMBA alizitaja Shule zilizopokea anafunzi mpaka
sasa ni ELEGE Sekondari wanafunzi 69 kati ya 84, SELELI wanafunzi 86 kati ya
113 huku shule kongwe ya KASHISHI wanafunzi walioripoti ni 211 kati ya wanafunzi
260.

Nao Afisa Tarafa ya KALIUA, BETHOD MAHENGE pamoja
na Afisa Tarafa ya MWONGOZO, JACKSON ZACHARIA walisema ni vyema wazazi wakaunga
mkono mpango wa elimu bure kwa kuwapeleka watoto shule.

Miongoni mwa shule ambazo uripoti wa wanafunzi ni
hafifu ni pamoja na ZUGIMLOLE SEKONDARI ikiwa na asilimia 55 ya wanafunzi ambao
bado hawajaripoti, IGWISI sekondari asilimia 51, na ULYANKULU sekondari
asilimia 47.

Na:Simon Jumanne -TABORA